Recent Posts

nimeokolewa kwa neema

No comments
Kwa maana nimeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zetu, ni kipawa cha Mungu; wala si kwa matendo, mtu awaye yoyote asije akajisifu. Waefeso 2:8-9

Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa ajili yake

No comments
Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa ajili yake

nyama choma just after church

No comments
YOHANA 14:27 Ninawaachia amani. Nawapeni amani yangu; amani hii ulimwengu hauwezi kuwapa. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiogope

The LORD bless you and keep you

No comments
The LORD spoke to Moses, saying, “Speak to Aaron and his sons, saying, Thus you shall bless the people of Israel: you shall say to them, The LORD bless you and keep you; the LORD make His face to shine upon you and be gracious to you; the LORD lift up his countenance upon you and give you peace. So shall they put My name upon the people of Israel, and I will bless them” (Numbers 6:22-27).

PICHA: DVD YA PROJECT 777 YA NYIMBO ZA MIRIAM LUKINDO MAUKI INAPIKWA

No comments

Mwimbaji nguli  na mwenye kipaji cha tofauti katika nyimbo za injili Miriam Lukindo wa Mauki a.k a Binti Afrika yuko jikoni akiipika albam itakayobeba jina la 777, akishirikiana na mtaalamu wa kupiga picha za video kutoka kwa Obama a.k.a Amerika au marekani, kaka mkubwa Alex Josec na timu yake nzima, bila kumsahau mzee wa hot shots za picha Silvanus Mauki. Hizi hapa ni picha chache za baadhi ya matukio ya project hii. Hii ni rasha rasha tu, mvua nzima itakunyeshea sooooon.

God never changes.

No comments
God never changes. In fact, it is impossible for God to change. The influences that cause change in your life have no effect on God. He will never be stronger or weaker. His knowledge and wisdom will not increase or diminish. God does not compromise or change His values. And God does not have mood swings. Life and its uncertainties may shake you, but God-the Rock of Ages-does not move. If you cling to Him, His strength will sustain you.

Jizolee baraka kwa Bwana kwa kushare wimbo huu

No comments
Rafiki yangu na fan wangu mpenzi, usikose kuangalia video hii mpya . Jizolee baraka kwa Bwana kwa kushare wimbo huu, na mwambie mwenzako. Mungu akubariki, endelea kuniombea, nakupenda sana. 
https://www.youtube.com/watch?v=Xb5kWBbBVJg