PICHA: DVD YA PROJECT 777 YA NYIMBO ZA MIRIAM LUKINDO MAUKI INAPIKWA

No comments

Mwimbaji nguli  na mwenye kipaji cha tofauti katika nyimbo za injili Miriam Lukindo wa Mauki a.k a Binti Afrika yuko jikoni akiipika albam itakayobeba jina la 777, akishirikiana na mtaalamu wa kupiga picha za video kutoka kwa Obama a.k.a Amerika au marekani, kaka mkubwa Alex Josec na timu yake nzima, bila kumsahau mzee wa hot shots za picha Silvanus Mauki. Hizi hapa ni picha chache za baadhi ya matukio ya project hii. Hii ni rasha rasha tu, mvua nzima itakunyeshea sooooon.

No comments :

Post a Comment